114. Yesu Nataka Kutakaswa Sana
Lord Jesus, I Long to be Perfectly Whole
1.Yesu Mwokozi Ili nitakaswe, nataka mouo uwe enzi Yako.
Ukiagnushe kilichoinuka unioshe sasa niwe mweupe.
Mweupe tu, ndiyo mweupe,
Ukiniosha nitakuwa safi.
2. Bwana Yesu sasa unitazame, unifanye niwe dhabihu hai.”
Najitoa kwako, na moyo, vyote; unioshe sana niwe mweupe.
3.Bwana kwa hiyo nakuomba sana, nakuongojea miguuni pako,
Wanaokuja hutupi kamwe, unioshe sasa niwe mweupe.