14 – Nitembee Nawe

0
44

(NZK # 14) NITEMBEE NAWE (O Let Me Walk With Thee)

1.Nitembee Nawe Mungu
Alivyotembea Enok;
Mkono Wangu Uushike;
Unene Nami Kwa Pole;
Ingawa Njia Siioni,
Yesu Nitembee Nawe.

2.Siwezi Tembea Pekee;
Pana Dhoruba Mbinguni;
Mitego Ya Miguu Elfu;
Adui Wengi Hufichwa;
Uitulize Bahari,
Yesu Nitembee Nawe.

3.Ukinishika Mkono,
Anasa Kwangu Hasara;
Tautwika Msalaba;
Hata Mji Wa Sayuni
Yesu Nitembee Nawe.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here