58 – Zitakuwa Nyota Tajini

0
46

(NzK # 58) ZITAKUWA NYOTA TAJINI?
I Am Thinking Today

1. Leo Ninafikiri Ya Nnchi Nzuri Ninayotaka Kuiona;
Nisimamapo Karibu Na Mwokozi,
Tajini Zitakuwa Nyota?

Sijui Tajini Mwangu Kama Nyota
Zitang’aa Kila Wakati!
Nitakapoamka Katika Majumba,
Zitakuwa Nyota Tajini?

2. Kwa Nguvu Za Bwana Nita Fanya Kazi,
Nitavuta Roho Za Watu,
Ili Niwe Na Nyota Katika Taji,
Bwana Anapotupa Tunu.

3. Nita Kuwa Na Furaha Nikimwona,
Kuweka Miguuni Pake
Watu Waliyovutwa Kwa Ajili Ya
Kazi Yangu Na Roho Yake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here