64 – Piga Panda Ya Injili

0
42

(NZK # 64) PIGA PANDA YA INJILI.
Watchman Blow The Gospel Trumpet

1. Piga Panda Ya Injili, Onyesha Watu Wote;
Ili Anaye Sikia Atubu Aokoke.

Piga Panda Ya Injili, Uipige Kwa Nguvu;
Mungu Amekuagiza Mateka Wawe Huru.

2. Uipige Vilimani, Kwa Kila Tambarare;
Pande Zote, Miji Yote Isikie Injili.

3. Uipige Mipakani, Barabarani Pia;
Iwatangazie Wote, Wanakwitwa Na Baba.

4. Uipige! Watu Wengi Wataka Wawe Huru;
Waanbie Kwamba Yesu Asema “Njoni Kwangu.”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here