(NZK # 67) KESHA ROHO YANGU
My Soul, Be On Thy Guard
1. Kesha Roho Yangu, Adui Maelfu
Hujaribu Kuangusha, Kuvuta Dhambini.
2. Ukeshe,Uombe, Ili Usishindwe;
Fanya Vita Kila Siku, Omba Msaada.
3. Kushinda Ni Bado: Ulinde Silaha;
Usiache Kupigana Hata Una Taji.