(NZK # 9) MWUMBAJI, MFALME
(My Make And My King)
- Mwumbaji, Mfalme Vitu Vyote Vyako;
Nikwaukarimu Wako, Ninabarikiwa,
Nikwaukarimu Wako, Ninabarikiwa.
2.Uliyeniumba, Nakutegemea;
Sina Budi Kuzisifu, Hisani Zako Kuu,
Sina Budi Kuzisifu, Hisani Zako Kuu.
- Nitatoa Nini? Kwanza Vyote Vyako.
Upendo Wako Wadai, Moyo Wa Shurani,
Upendo Wako Wadai, Moyo Wa Shurani. - Nipewe Neema, Niwe Na Uwezo
Wakuishi Kwako, Bwana: Siku Zangu, Zako,
Wakuishi Kwako, Bwana: Siku Zangu, Zako.