1 – Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu

0
43

(NZK # 1) MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
(HOLY, HOLY, HOLY)

 1. U Mtakatifu! Mungu Mwenyezi!
  Alfajiri Sifa Zako Tutaimba;
  U Mtakatifu, Bwana Wa Huruma.
  Mungu Wavyote Hata Milele.
 2. Umtakatifu! Na Malaika
  Wengi Sana Wana Kuabudu Wote;
  Elfu Na Maelfu Wana Kusujudu
  Wazamani Na Hata Milele.
 3. U Mtakatifu! Ingawa Giza
  Lakuficha Fahari Tusiioone,
  U Mtakatifu! Wewe Peke Yako,
  Kamili Kwa Uwezo Na Pendo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here