(NZK # 2) Twamsifu Mungu
(WE PRAISE THEE, O GOD)
- Twamsifu Mungu, Mwana Wa Upendo,
Aliye Tufia Na Kupaa Juu.
Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, Utubariki.
- Twamsifu Mungu, Roho Mtukufu,
Akatufunulia Mwokozi Wetu. - Twamsifu Mwana, Aliye Tufia,
Ametukomboa Na Kutuongoza. - Twamsifu Mungu Wa Neema Yote ,
Aliyetwaa Dhambi, Akazifuta. - Tuamshe Tena, Tujaze Na Pendo.
Moyono Uwashe Moto Wa Roho.