174 – Tukimngojea

0
29

174. Tukimngojea
We Know not the Time when He Cometh

1. Sijui atakapokuja, 2. Nakumbuka huruma zake,
Mchana au usiku; Bei ya wokovu wetu:
Labda sa-a ya alasiri, Aliacha nyumba tukufu
Pengine ni alfajiri. Awafilie wabaya.
Hutwambia tuwe tayari, Ninadhani itampendeza,
Ta-a zetu tusizime; Kama sisi watu wake,
Ili ajapo atukute; Tukionyesha pendo letu,
Tuwe tukimngoja Yeye. Tuwe tukimngoja Yeye

Tu – – – kimngojea – – – a, 3. Ee Yesu, Mwokozi mpendwa,
(kukesha, tunakungoja Wewe) Wajua nalihifadhi
Tu – – – kimngojea – – – a, Tumaini la kukuona.
(kukesha, tunakungoja Wewe) La kukaribishwa nawe
Tu – – – kimngojea – – – a, Ukija kwa watu wengine,
(kukesha, tunakungoja Wewe) Kama mhukumu wao,
Twakesha, twamngoja Yeye. Kwangu utakuwa rafiki,–

Nakesha, nakungojea.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here