87 – Siku Ya Sabato

0
41

87. Siku Ya Sabato
Thy Holy Sabbath Lord

1. Siku ya Sabato, siku takatifu,
Watu wako Mungu wetu, waipenda sana.

2. Ulitakasa, uliibariki,
Siku hiyo ya Sabato, siku yako Bwana.

3. Nasi tubariki tukikuabudu,
Katika siku ya raha, siku yako Bwana.

4. Halafu mbinguni, pamoja na Wewe.
Tunataka kuzishika Sabato za Bwana

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here